Nenda kwa yaliyomo

Edit-a-thon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edit-a-thon ni warsha au tukio ambalo wahariri wa jamii za mtandaoni kama vile Wikipedia, OpenStreetMap (vile vile kama “mapathon[1]”) na LocalWiki huhariri na kuboresha maudhui fulani au mada maalum. Matukio hayo huhusisha mafunzo ya awali ya uhariri kwa wahariri wapya na pia hujumuisha mkusanyiko wa kijamii.

  1. "LearnOSM". learnosm.org. Iliwekwa mnamo 2022-09-06.