Nenda kwa yaliyomo

Dwayne Johnson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dwayne Johnson

Dwayne Johnson, mnamo 2023.
Amezaliwa Dwayne Douglas Johnson
2 Mei 1972
California, Marekani
Kazi yake mwigizaji wa Marekani
Miaka ya kazi 1999 hadi leo
Ndoa
  • Dany Garcia (m. 1997–2008) «start: (1997)–end+1: (2009)»"Marriage: Dany Garcia to Dwayne Johnson" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Dwayne_Johnson)
  • Lauren Hashian (m. 2019–present) «start: (2019)»"Marriage: Lauren Hashian to Dwayne Johnson" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Dwayne_Johnson)
Watoto 3

Dwayne Douglas Johnson (pia anajulikana kwa jina la The Rock[1]; alizaliwa 2 Mei 1972) ni mwigizaji wa Marekani, mtayarishaji wa vipindi, na mwanamiereka wa kulipwa aliyestaafu. Anachukuliwa kama mmoja wa wanamiereka wa kitaalamu zaidi wa nyakati zote[2][3].

  1. "Dwayne "The Rock" Johnson". WWE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-13.
  2. "The Greatest Professional Wrestlers of All Time - UGO.com". web.archive.org. 2013-11-04. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-04. Iliwekwa mnamo 2023-05-13.
  3. "The Top 100 Pro Wrestlers of All Time Reviewed In Wrestling Perspective". wrestlingperspective.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-13.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dwayne Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.